Discovering Africa Thru' Technology

‘Shujaa wa uwekezaji katika Uchumi ‘Sauti ya Mwanamke Sokoni’ Jane Magigita


Listen Later

Je unajua umuhimi na uwezo mkubwa uliokuwepo kiuchumu kama serikali ingetambua,dhamini na kuwekeza katika wanawake wasikuwa kwenye sekta rasmi ya wanawake masokoni.

 Kutana na Jane Magigita Mkurugenzi wa Equality for Growth na Mvumbuzi, Mbunifu wa 'Sauti ya Wanawake Sokoni'.

Mwanasheria, Mtetezi wa Haki za Wanawake na Haki za Jinsia pamoja na Mwezeshaji wa Sekta isiyorasmi akifafanua uzoefu wake kuhusu umuhimu wa kundi lisilotambulika, lililosahaulika (WANAWAKE SOKONI)na mchango wake katika uchumi wa Tanzania pamoja na umuhimu wa kuwekeza kwao kwa kuwatambua na kuwarasimisha.

 

Equality for Growth

https://efg.or.tz/

Facebook:

equalityforgrowth/

Instagram:equalityforgrowth/

Twitter@equalityforgrowth


#SautiyaMwanamkesokoni

#mperizikisimatusi

#vitendawilivyacorona

#simulizizawanawakesokoni

 

Follow us on

Twitter: @discoverAfrDATT

Instagram:@discoverAfrDATT

Facebook:discoverAfrDATT

LinkedIn:@discoverAfrDATT

Email: discoveringafricaDATT

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Discovering Africa Thru' TechnologyBy Raziah Mwawanga