Siasa Zetu

Siasa na Rushwa


Listen Later

Katika episode hii ya Siasa na Rushwa ,Bi.Bibie Mssumi na Said Miraj Abdulla wanajadili kuhusu Siasa bora huanza pale tunapochagua uadilifu badala ya tamaa ,Rushwa haijengi taifa inabomoa misingi ya haki na maendeleo ya taifa .Kila mmoja wetu ana wajibu wa kusema hapana kwa rushwa na ndiyo kwa uwajibikaji na uwazi.

siasazetu #SiasaNaPropaganda#SiasaNiWananch

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siasa ZetuBy 123 Productions