Sepetuko

Siasa za Urithi ODM: Nani Afaa Kuvaa Kiatu cha Odinga?- SEPETUKO


Listen Later

Hatua ya Kiongozi wa ODM kutangaza kuwania uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika AUC imeibua mjadala mkubwa kuhusu nani anafaa kuvaa kiatu chake kuongoza chama hicho? Sepetuko inakariri kauli ya muigizaji wa Marekani William Powell kuwa ''power must be taken. It is not given."
Yeyote asiketi hapo na kusubiri kukabidhiwa usukani wa ODM.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

SepetukoBy Standard Media