kama ilivo nchi nyingi duniani wananchi wake uishi kwa wasiwasi Na Kutawaliwa na umaskini kwasababu za kiusalama SIKU NYEUSI inazungumzia maisha mabovu na unyanyasaji unao endeshwa na baadhi ya watu walioacha kujiongeza kwaku tafta ajira au kujiajiri Na kuamuwa kuwa waamuzi wa maisha ya wengine ....