Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kila siku ya tarehe 16 mwezi Juni kuanzia mwaka wa 1991, ulimwengu huungana katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa afrika. Katika maadhimisho ya siku hii, masuala mbalimbali yanayoathiri Maisha ya mamil... more
FAQs about SIKU YA MTOTO WA AFRIKA:How many episodes does SIKU YA MTOTO WA AFRIKA have?The podcast currently has 3 episodes available.
July 19, 2024SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | Mahojiano Kuhusu Siku ya Mtoto wa Afrika – Part 2Kila siku ya tarehe 16 mwezi Juni kuanzia mwaka wa 1991, ulimwengu huungana katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa afrika. Katika maadhimisho ya siku hii, masuala mbalimbali yanayoathiri Maisha ya mamilioni ya Watoto katika bara la afrika hujadiliwa na uhamasisho kutolewa. Mwaka huu, suala la elimu limepewa kipaumbele kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika, kauli mbiu ikiwa ni Masomo kwa kila mtoto wa Afrika, wakati ni sasa. Kauli mbiu hii inaalika wahusika wa sekta mbalimbali kuimarisha juhudi za kuhakikisha kwamba kila mtoto anapata elimu....more21minPlay
July 19, 2024SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | Mahojiano Kuhusu Siku ya Mtoto wa Afrika – Part 1Kila siku ya tarehe 16 mwezi Juni kuanzia mwaka wa 1991, ulimwengu huungana katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa afrika. Katika maadhimisho ya siku hii, masuala mbalimbali yanayoathiri Maisha ya mamilioni ya Watoto katika bara la afrika hujadiliwa na uhamasisho kutolewa. Mwaka huu, suala la elimu limepewa kipaumbele kwenye maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika, kauli mbiu ikiwa ni Masomo kwa kila mtoto wa Afrika, wakati ni sasa. Kauli mbiu hii inaalika wahusika wa sekta mbalimbali kuimarisha juhudi za kuhakikisha kwamba kila mtoto anapata elimu....more30minPlay
June 14, 2024SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | Vizuizi vya Haki ya Kupata Elimu Mtoto wa Afrika.Je Ni nini haswa kinawazuia watoto wote wa Kaunti ya Narok na taifa la Kenya, na katika Bara la Afrika kupata elimu?...more16minPlay
FAQs about SIKU YA MTOTO WA AFRIKA:How many episodes does SIKU YA MTOTO WA AFRIKA have?The podcast currently has 3 episodes available.