
Sign up to save your podcasts
Or


Octoba 11 nisiku ya mtoto wa kike duniani. Wasichana wengi duniani wanakabiliwa na vikwazo katika safari yao ya kuelekea utuuzima, huku mimba na ndoa za utotoni zikiwalazimisha mamilioni kuacha shule na kukatisha ndoto zao. Hivyo umewadia wakati wa dunia kuchukua hatua na kuwapa fursa ya maisha bora wasichana hawa. Naanda kikao na wasichana baadhi ya wasichana hao mtaani kibra.
By Henix ObuchunjuOctoba 11 nisiku ya mtoto wa kike duniani. Wasichana wengi duniani wanakabiliwa na vikwazo katika safari yao ya kuelekea utuuzima, huku mimba na ndoa za utotoni zikiwalazimisha mamilioni kuacha shule na kukatisha ndoto zao. Hivyo umewadia wakati wa dunia kuchukua hatua na kuwapa fursa ya maisha bora wasichana hawa. Naanda kikao na wasichana baadhi ya wasichana hao mtaani kibra.