Biblia Inasema Usiogope

Sitakufa Bali Nitaishi


Listen Later

Inapofika mahala maisha yako yanataka kukatishwa na shetani, au biashara yako inataka kufa, au kazini vita imeinuka ili kukukatisha, hapo unapaswa kukumbuka maandiko na kukiri kwamba "Sitakufa bali nitaishi, nami nitayasimulia matendo ya Bwana". Kwa neno hili na imani yako katika Bwana Mungu wako ndani ya Kristo Yesu uwe hodari na usiogope. Biblia inasema usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri