On today's episode i have been a little bit aggressive, because we're failing big time!.Kujaribu kuishi kama mwengine huku ukijua vipato vyenu havifanani ni kujiingiza kwenye shimo la madeni yasiyoisha, kutokua na saving na eventually kutofikia malengo uliyojiwekea!