
Sign up to save your podcasts
Or


From the publisher's feed
Kuna story nyingi sana nyuma za watu waliofanikiwa au waliopiga hatua fulani kwenye maisha, na katika story hizo siku zote kuna somo kubwa la
Na ndio maana Femina Hip tumekuja na Story Yangu Podcast sehemu ambayo utapata nafasi ya kusikiliza story za watu mbalimbali, story ambazo hukuwahi kuziskia popote.Story ambazo zitakupa elimu, burudani na michongo pia. Usitamani kukosa hata episode moja