Oii niaje niaje!, I hope kila mtu ako poa bna na Yuko na siku njema ATI Leo nimekuja na Episode ya tofauti nilikua street pande flani makongo juu DTV nikawa nimeenda kwenye ubanda mmoja I kuexperience kinachoendelea eneo hilo OYAA!! It was dope kulikua na story Mob, sasa nimekuekea hii skiliza watu walivovurugwa humu ndichii
OYAA mwambie mshkaji wako Kuna JAMIII
#Double Zero