Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)

SURA YA 14-1. Msihukumiane


Listen Later

Paulo aliwaonya watakatifu huko Rumi kwamba wasihukumiane wala kubishania imani za wao kwa wao. Kwa wakati huo, kwa kuwa kulikuwa na watu ambao walikuwa ni waaminifu sana na wale ambao hawakuwa waaminifu sana katika kanisa la Rumi, basi hali hiyo ilisababisha kulaumiana na kubishania imani kati ya wao kwa wao. Ikiwa jambo hili litatokea kwako basi unapaswa kuheshimu imani ya mtu mwingine na jitahidi kuepuka mabishano yoyote na watumishi wa Mungu. Kwa kweli suala la kuwainua na kuwajenga watumishi wake si kazi yetu bali ni kazi ya Mungu mwenyewe.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Haki ya Mungu Inayofunuliwa Katika Kitabu cha Warumi - BWANA Wetu Aliyefanyika Kuwa Haki ya Mungu (II)By The New Life Mission