
Sign up to save your podcasts
Or


Wale wanaoamini katika haki ya Mungu hawapaswi kuitafuta hai yao wenyewe kwa kuwa Yesu Kristo hakuitafuta haki yake mwenyewe. Wenye haki wanaishi kwa ajili ya Ufalme wa Mungu na wanaihubiri injili kwa ajili ya mema ya wengine. Paulo alisema kuwa wenye nguvu wanapaswa kubeba mapungufu ya wadhaifu badala ya kujipendeza wao wenyewe.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
By The New Life MissionWale wanaoamini katika haki ya Mungu hawapaswi kuitafuta hai yao wenyewe kwa kuwa Yesu Kristo hakuitafuta haki yake mwenyewe. Wenye haki wanaishi kwa ajili ya Ufalme wa Mungu na wanaihubiri injili kwa ajili ya mema ya wengine. Paulo alisema kuwa wenye nguvu wanapaswa kubeba mapungufu ya wadhaifu badala ya kujipendeza wao wenyewe.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35