
Sign up to save your podcasts
Or


Kwa nini Paulo alisema kuwa anahuzuni sana na uchungu unaoendelea katika moyo wake kwa ajili ya watu wake? Ni kwa sababu Paulo alikuwa ana kitu anachokitaka kwa ajili ya ndugu zake, na ndio maana alikuwa radhi kulaaniwa na kukatwa toka katika Kristo kwa ajili yao. Kwa mujibu wa mwili wake, Paulo alipenda sana kwamba watu wake waweze kuokolewa.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35
By The New Life MissionKwa nini Paulo alisema kuwa anahuzuni sana na uchungu unaoendelea katika moyo wake kwa ajili ya watu wake? Ni kwa sababu Paulo alikuwa ana kitu anachokitaka kwa ajili ya ndugu zake, na ndio maana alikuwa radhi kulaaniwa na kukatwa toka katika Kristo kwa ajili yao. Kwa mujibu wa mwili wake, Paulo alipenda sana kwamba watu wake waweze kuokolewa.
https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35