Trinity Reformed Baptist Church, Meru, Kenya.

Swahili Evangelistic Sermons: 1 Timotheo 1:15 | Pastor Eric Kahure


Listen Later

1 Timotheo 1:15Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa, ya kwamba Kristo Yesu alikuja ulimwenguni awaokoe wenye dhambi; ambao wa kwanza wao ni mimi. Lakini kwa ajili hii nalipata rehema, ili katika mimi wa kwanza, Yesu Kristo audhihirishe uvumilivu wake wote; niwe kielelezo kwa wale watakaomwamini baadaye, wapate uzima wa milele

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Trinity Reformed Baptist Church, Meru, Kenya.By Trinity Reformed Baptist Church