Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Swahili media| Remember my name by LGT|Download mp3


Listen Later

Mwanamuziki kutoka Burundi mwenye makaazi yake Nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mwingine baada ya kujijengea taji kwa ngoma zake kama FAR AWAY, DONT LET ME GO akiwa na mwenzake YSK.

Kwa sasa ameamua kuonyesha ukali wake kwa ngoma yake mpya ambayo amefanya pekee yake.

Ngoma imepewa jina la REMEMBER MY NAME ikiwa imetengenezwa na jumba zima la SPK STUDIOS.

Pakua ngoma hiyo hapa chini bila chenga zozote.Usisahau kushare na wenzako kama kawaida yetu.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIASBy Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS