Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Swahilimedia │Wangu by Natacha ft Shebbah │download mp3


Listen Later


NATACHA LA NAMBA baada ya kujijengea headlines kubwa sana kwa vibao vyake ambavyo vilimtambulisha zaidi ndani na nje ya nchi yake kuanzia UNANIONGOPEA,SHIKILIA,GERAGEZA.sasa ameamua kuchukuwa muda mwingine na kubadirisha mazingira tena kwa kujirusha KAMPALA kwa kazi moja ambayo amemshirikisha Msanii mwenzake wa kike anayetamba zaidi kwa kibao chake cha RWATAKO.
Kukwa wa kwanza kujipatia kibao hicho cha wawili hao kikiwa kimepewa jina la WANGU utamu mwingi uko ndani yake.
Usiseheu kushare na wengine kama kawaida yetu.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIASBy Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS