Creditinfo Firechat Podcast.

Taarifa za Mikopo ni Nini?


Listen Later

Katika Episode ya kwanza ya Creditinfo Firechat Podcast, Mkurugenzi wa Creditinfo Tanzania Edwin Urasa anatuelezea kuhusu mwanzo wa taasisi ya Creditinfo na kazi zake nchini na duniani.

Ungana na Mtangazaji Masoud Kipanya katika kujua zaidi juu ya taarifa za mikopo, elimu ya fedha na mikopo nchini Tanzania.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Creditinfo Firechat Podcast.By CreditinfoTZ