Tanzania Adapts

Tanzania Adapts: Part 2 - Athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye afya ya akili


Listen Later

Kwenye episode hii nimezungumza na Prof. Magreth Bushesha kutoka Idara ya Jiografia ya Chuo Kikuu Huria Tanzania ambaye pia amebobea kwenye masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi na maisha ya jamii. Kwenye Episode hii tunajadili namna mabadiliko ya tabia yanavyoleta athari kwenye afya ya akili kwa kuzingatia changamoto mbalimbali zinazoletwa na mabadiliko hayo katika maisha ya kila siku ya jamii. Sikiliza sehemu ya pili ya mazungumzo hayo kwenye link inayofuata. Karibu.


In this episode, we discuss how climate change impacts mental health. Marygoreth Richard sits with Professor Magreth Bushesha from the geography department at the Open University of Tanzania, who specialises in climate change and livelihood systems.


Tanzania Adapts is a Kiswahili language podcast created by BBC Media Action in Tanzania. It is produced and presented by Marygoreth Richard. Tanzania Adapts is supported by Irish Aid and the Embassy of Belgium in Tanzania.




Learn more on YouTube: https://www.youtube.com/@tanzaniaadapts9082

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Tanzania AdaptsBy BBC Media Action