Tanzania Adapts

Tanzania Adapts: Ubunifu nishati safi kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.


Listen Later

Alizaliwa kijijini Iringa kwenye changamoto ya umeme, Gibson Kawago kijana mbunifu kutoka Tanzania mwanzilishi wa kampuni ya WAGA inayofanya ubunifu wa kurejelesha betri zilizokufa za Kompyuta mpakato ama Laptop kutengeneza betri za lithium-ion zinatotoa nishati safi ya umeme kwa gharama nafuu. Kwenye Episode hii Marygoreth Richard amezungumza na kijana huyu na kudadavua kwa undani ndoto yake ilianzia wapi na kwanini ubunifu wake ni mfano wa kuigwa kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia ya nchi.


In this Episode Marygoreth Richard talks to Gibson Kawago who is the Founder of Wanted Garage (WAGA), that reuses laptop batteries to provide affordable, reliable, and durable lithium-ion battery solutions. Through WAGA, Gibson can help rural dwellers access off-grid clean and affordable energy for lighting and power solutions.

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Tanzania AdaptsBy BBC Media Action