Biblia Inasema Usiogope

Tazama Mfalme Wako


Listen Later

Ili kushinda katika imani, ili kufanikiwa malengo na kuishi maisha ya ushindi hutakiwi kuogopa. Usiogope watu wanasemaje ila tazama mfalme wako, ndiye Bwana wako, Yesu Kristo. Usiogope mazingira unayopitia au ugonjwa unaokusonga, Yesu Kristo alimaliza yote pale msalabani, wewe amini tu. Tena usiogope kwa sababu ya taabu na mapigo wanayopitia wengine. Ukibaki katika imani, Mungu mwenyewe anahakikisha unabaki salama.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri