Story za Siku:
- Tetesi za Drake na Kanye West kutoa Album siku moja
- WhatsApp kupinga uamuzi wa Apple kuweka mfumo wa kukagua picha
- Majaribio ya Satelite ambazo zitakuwa zinaonyesha matangazo muda wa usiku
- Mfumo wa HarmonyOS kufikisha watumiaji zaidi ya Milioni 50
- Simu ya kwanza kuwa na kamera
Shukran sana kwa kufuatilia Podcast hii na tuendelee kuwa pamoja.
DAKA CODE!!!