THE CROSSBAR

THE CROSSBAR PODCAST| EPSODE 1| YANGA WANATAMBA NA REKODI HIZI


Listen Later

LEO THE CROSSBAR PODCAST IMEKITA KAMBI MITAA YA JAGWANI TUKIIMULIKA KWA KINA KIKOSI CHA YANGA SPORTS CLUB MABINGWA MARA 30 WA LIGI KUU SOKA TANZANIA BARA.

TAFITI ZA THE CROSSBAR PODCAST ZIMEBAINI REKODI MBALIMBALI ZA KIKOSI CHA YANGA NDANI YA MISIMU YA HIVI KARIBUNI.

BASI HILI KUJUA KWA UNDANI NI KIPI HASA NIMEKUANDALIA HII LEO ENDELEA KUISIKILIZA THE CROSSBAR PODCAST AMBAPO UNAWEZA KUIPATA KUPITIA AUDIO PLATFORM MBALIMBALI

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

THE CROSSBARBy LEONARD MUSIKULA