Karibu kwenye podikasti iliyoundwa kwa ajili ya kuwezesha jamii kujifunza na kuvunja ukimya juu ya maswala ya HEDHI. Mkakati wetu ni #hedhiinatuhusu #tokomezaunyanyapaawahedhi…
#tokomezaumasikiniwahedhi KARIBU TUZUNGUMZE HEDHI! @thedaysperiod @thedaysperiod