Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mimi huwakumbatia watoto wangu
mimi huenda kazini
Mimi hutembea hadi kwa kituo cha mabasi
Mimi huvuka barabara
Mimi hununua tiketi
Mimi hupanda ngazi
Mimi hukimbia kupanda basi
Mimi humwonyesha dereva wa basi tiketi
Mimi husikiza muziki kwa simu yangu
Mimi hulala usingizi kidogo
Mimi humpa mwanawake mzee kiti changu
Mimi huangalia saa kwa saa yagu ya mkono
Mimi huangalia hali magari barabarani kwa simu yangu
Mimi hupiga simu
Mimi hukwama kwa msongamano wa magari
Mimi husoma habari kwa simu yangu
Mimi huendesha baiskeli yangu
Mimi hununua kumbwe za kula nikiwa kazini
Mimi huingia katika jengo hilo
Mimi hukimbia kwa ngazi ya kuenda
----Formal English----
I hug my kids.
I go to work.
I walk to the bus station.
I cross the street.
I buy a ticket.
I go up the stairs.
I rush to catch the bus.
I show my ticket to the bus driver.
I listen to music on my smart phone.
I take a short nap.
I offer my seat to an older woman.
I check the time on my watch.
I check the traffic on my phone.
I make a phone call.
I get stuck in a traffic jam.
I read news on my phone.
I ride my bicycle.
I buy snacks to eat at work.
I enter the building.
I run up the escalator.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!