Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mimi huingia na kitambulisho changu
Mimi hukaa kwenye dawati yangu
Mimi huweka vipau mbele
Mimi huulizwa nishughulike kazi
Mimi hutengeneza nyaraka
Mimi huhudhuria mkutano
Mimi hupanga dawati yangu
Mimi huweka kalamu katika droo
Mimi hujibu barua pepe
Mimi huchukua maelezo
Mimi huagiza vifaa za ofisi
Mimi hutuma faksi
Mimi huenda kula chakula cha mchana pamoja na wenzangu
Mimi hupokea simu
Mimi hutayarisha mada
Mimi huchukua likizo ya kulipwa
Mimi hupata wazo lipya
Mimi huandika maelezo kwa karatasi mpya
Mimi huondoka afisini wakati ufaao
Mimi hufanya kazi lisaa limoja la nyongeza
----Formal English----
I clock in with my ID card.
I sit at my desk.
I set priorities.
I am asked to handle a task.
I create documentation.
I attend a meeting.
I tidy up my desk.
I put a pen in a drawer.
I answer an email.
I take notes.
I order office equipment.
I send a fax.
I go to eat lunch with my colleagues.
I receive a phone call.
I prepare a presentation.
I take a paid vacation.
I get a new idea.
I take notes on scratch paper.
I leave the office on time.
I work one hour overtime.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!