Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mimi hujaribu chakula kipya
Mimi hukanyanga juu ya kipimio
Mimi hufanya kazi ili kuongeza metabiliki yangu
Mimi hafanya mazoezi mara mbili kwa wiki
Mimi hufanya mazoezi ya kukaa chini kila siku
Mimi hufanya mazoezi ya kushinikiza kila siku
Mimi hupata kuangaliwa afya
Mimi husukutua baada ya kurudi nyumbani
Mimi nataka kuepuka kuambukizwa homa
Mimi hujaribu kula mboga nyingi zaidi
Mimi hula chakula kilicho na madini mengi
Mimi hutumia vitamini nyingi sana
Mimi huhakikisha nimekula chakula kilicho na nyuzi nyuzi nyingi sana
Mimi hupunguza kabohaidreti
Mimi hula chakula kilicho na proteni nyingi sana.
Mimi hukimbia hadi kwa ngazi juu
Mimi hujaribu kula chakula bora
Mimi huhesabu makalori
Mimi hupunguza ukulaji wa switi
Mimi hujipata kwa majaribio
----Formal English----
I try a new diet.
I step on a scale.
I work on increasing my metabolism.
I exercise twice a week.
I do sit-ups every day.
I do push-ups every day.
I get a health checkup.
I gargle after returning home.
I want to avoid catching a cold.
I try to eat more vegetables.
I eat food with a lot of minerals.
I take a lots of vitamins.
I make sure to eat a lot of fiber.
I reduce carbohydrates.
I eat food with a lot of protein.
I run up the stairs.
I try to eat a balanced diet.
I count calories.
I cut back on sweets.
I give in to temptation.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!