Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mimi huhifadhi kiti mahala ambapo hapavutiwi sigara.
Mimi huita mhudumu
Mimi huitisha orodha ya mvinyo
Mimi huagiza kinywaji
Mimi hupata chakula kingi katika meza ya kuandaliwa chakula.
Mimi huagiza aina tofauti za sahani ya jabini
Mimi huwa mlafi na kuagiza chakula aina nyingi.
Nilikutana na rafiki huko cafeteria.
Mimi huitisha sahani ingine.
Mimi huangusha vijiti vya kula vyangu
Mimi husherehekea siku za kuzaliwa za watoto wangu katika mikahawa mizuri.
Mimi hujaribu pombe za humu mitaani
Mimi huweka kifuniko cha saladi juu ya saladi
Mimi humwaga maji kutoka kwa mtungi
Mimi huagiza samaki ya chakula kikuu
Mimi huitisha mchele zaidi
Mimi huagiza chakula cha kumalizia
Mimi hutafuta vijiti vya meno
Mimi huitisha hati ya fedha
Mimi hulipa na kadi
----Formal English----
I reserve my seat in a non-smoking zone.
I call a waiter.
I ask for a wine list.
I order a drink.
I get a lot of food at the buffet.
I order an assorted cheese platter.
I get greedy and order a lot of dishes.
I bumped into a friend at the cafeteria.
I ask for another plate.
I drop my chopsticks.
I celebrate my children's birthdays at nice restaurants.
I try a local beer.
I put salad dressing on the salad.
I pour water from a pitcher.
I order fish for the main course.
I ask for more rice.
I order a dessert.
I look for toothpicks.
I ask for the bill.
I pay by credit card.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!