Sign up to save your podcasts
Or

Wakati Rais DONALD TRUMP wa Marekani amemkamata Rais Nicolas MADURO na mkewe hapo jana, Mtanzania Thadei Kweka mwenye makazi yake nchini Marekani ambaye alikamatwa majuzi na kubambikiwa kesi ya uchocezi, ameachiwa huru jana. Hatua hiyo imetafsiriwa na wengi kama hofu ya SAMIA kufuatia kilichompata Maduro hapo jana.
Video kamili ipo hapa https://youtu.be/bZeeT8uDN8o
By Evarist Chahali5
11 ratings

194 Listeners