Biblia Inasema Usiogope

Tufani Ikivuma, Usiogope


Listen Later

Katika maisha tufani na dhoruba zipo kama vile katika meli inavyopita baharini kuelekea mahali fulani. Lakini kama vile tufani ilivyovunja meli iliyokuwa imemchukua Paulo kama mfungwa kwenda Roma kwa Kaisari lakini yeye na wengine wote walifika sehemu waliyokuwa wanaenda, yaani Roma, ndivyo ambavyo Mungu atakufikisha mahali unapaswa kufika hata kama dhoruba na tufani zitavuma. Usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri