
Sign up to save your podcasts
Or


Katika kipindi cha kwanza cha Tujibebe, tunakutana na Tunu, Rehema na Jojo wakianza mwaka mpya katika shule ya sekondari ya Ongoza. Jojo anamshauri Tunu kujiunga na timu ya netball, kitu ambacho kinaleta changamoto baina ya Tunu na Rehema.
By Tujibebe TanzaniaKatika kipindi cha kwanza cha Tujibebe, tunakutana na Tunu, Rehema na Jojo wakianza mwaka mpya katika shule ya sekondari ya Ongoza. Jojo anamshauri Tunu kujiunga na timu ya netball, kitu ambacho kinaleta changamoto baina ya Tunu na Rehema.