Kuorodhesha wanafunzi au shule kwa kigezo cha matokeo katika mitihani ya kitaifa hakufai. Kutukuza mitihani pia hakufai; huku ni kuwakatisha tamaa wasiofanya vyema katika mitihani. Ni vyema kukuza vipaji badala ya ushindani; elimu ni maarifa, si ushindani.