Sign up to save your podcasts
Or
Uhusiano Unaweza Kupungukiwa Muunganiko
πΉ Je, uhusiano wako unakosa muunganiko kamili? Katika episode hii, Mwalimu PastorG anachambua aina nne za mahusiano yasiyo kamili na athari zake:
β Uhusiano wa Kimwili Pekee β Bila Msingi wa Kiroho (1 Wakorintho 6:18-20)
β Uhusiano wa Kihisia Pekee β Bila Muunganiko wa Kiakili (Mithali 4:7, Amosi 3:3)
β Uhusiano wa Kiroho Bila Hisia β Kutojali Upande wa Kihisia (1 Petro 3:7, Waefeso 4:32)
β Uhusiano wa Kimkataba Badala ya Kiagano (Malaki 2:14, Mathayo 19:6)
π Mhubiri 4:9-10: βAfadhali wawili kuliko mmojaβ¦ kwa maana wakianguka, mmoja atamwinua mwenzake.β
π Subscribe & Follow kwa majadiliano yenye hekima na mwangaza wa kiroho!
π§ Sikiliza: Spotify, Apple Podcasts, Google Podcasts πΊ Tazama: YouTube @UhusianoKatikaKujengaJamii π± Shiriki nasi: Facebook, Instagram, TikTok @UhusianoJamii
#UhusianoKatikaKujengaJamii #MwalimuPastorG #Podcast #Mahusiano #Ndoa #Upendo