Nini maana halisi ya Ukristo?
Mahusiano ya Yesu Kristo na mwanadamu ni lazima yajengwe katika Ibada nzuri kwa Mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo. Katika episode hii nitakueleza kuhusu Ukristo tu na episode ya 2 nitakueleza kuhusu Ibada. Barikiwa.