We Machine Podcasting

Ukweli kuhusu uhalisia wa mchezo wa mieleka( wwe)


Listen Later

Watu wengi wamekuwa wakidhania wwe ni mchezo wa kweli kutokana na action ambazo wanaziona wakati wa mapambano. Lakini ukweli ni kwamba wwe ni mchezo wa maigizo na huwa scripted kila kitu, hadi mshindi huwa anapangwa awe nani, sikiliza podcast itakusaidia zaidi
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

We Machine PodcastingBy Mr Agaton