Sign up to save your podcasts
Or

Hii podcast ni kioo cha kujiangalia kwa yule ambaye anahofia kuwa amepoteza "Kujiamini" kwake. Imewazungumzia wanawake ila hata mzazi wa mtoto wa kike pia anaweza akapata mwanga, kujua ulezi wa watoto wa kike unawajenga vipi kuwa wanawake wanaojiamini au wasiojiamini.
Wanawake wasiojiamini ni janga kwenye jamii hata kama kuna haki sawa, wanawake hawazifurahi hizo haki kwasababu hawajitokezi. Hii podcast ni kwajili ya wanawake ambao wanaona wamejipoteza njiani, na wanataka mwanga wa kumulika njia yao ili waweze kuwa watu wanaojionea fahari.
By LinnetHii podcast ni kioo cha kujiangalia kwa yule ambaye anahofia kuwa amepoteza "Kujiamini" kwake. Imewazungumzia wanawake ila hata mzazi wa mtoto wa kike pia anaweza akapata mwanga, kujua ulezi wa watoto wa kike unawajenga vipi kuwa wanawake wanaojiamini au wasiojiamini.