MATUMAINI PROG 1506TITLE: UMUHIMU WA IMANITEXT: WAGALATIA 3:26-29Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tujifunze neno pamoja. Leo twalichambua fungu la neno kutoka waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:26-29, UMUHIMU WA IMANI jina langu ni David Mungai kabla hatujaendelea Zaidi furahia wimbo huu tuendellWIMBONaam karibu tena tujifunze neno waraka wa Paulo kwa wagalatia 3:26-29 UMUHIMU WA IMANIKatika […]