skizathepodcast

Uni-life & Social media


Listen Later

Humu ndani tumezungumzia maisha ya chuo, fursa zilizopo ndani yake bila kusahau mitandao ya kijamii ambapo katika maisha ya chuo Rafiki mkubwa wa mwanafunzi ni mitandao ya kijamii itategema wewe unaitumiaje katika kuhakikisha unafurahi, unaziona fursa.

Wewe unaitumiaje mitandao ya kijamiii?....

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

skizathepodcastBy thomas kelvin