Jamvi la Mahaba

UNYANYASAJI WA KIJINSIA


Listen Later

Wapendwa wasikilizaji wetu wa kipindi chetu pendwa cha JAMVI LA MAHABA karibu tena tuyajenge. Wapendwa wasikilizaji wetu , wana JAMVI  leo kwenye episode hii tunangumzia sababu zinazopelekea mtu au watu kupigana katika mahusiano  au ndoa  na nini hasa kifanyike katika harakati za kukemea kitendo kama hiki. Usiache kusubscribe na kuacha comment yako . Lakini pia unaweza kujiunga nasi katika social media zetu  Instagram : jamvilamahaba Facebook: jamvi la mahaba youtube : jamvi la mahaba https://youtu.be/U0tEHcAARaw 

Tuachie comment, like , share na pia tuachie ujumbe ili tuweze kuusoma hapa hapa katika kipindi kijacho. Tutumie ujumbe wa SMS kupitia number : 0653672399 Karibu sana na Tunawapenda!!!!

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Jamvi la MahabaBy Jahazi la Mahaba

  • 4
  • 4
  • 4
  • 4
  • 4

4

1 ratings