
Sign up to save your podcasts
Or


Je unajua unaweza ukawa mtu wa kiroho lakini ukawa humjui Mungu?
Kwenye neno hili utajifunza namna ambavyo mtu anaweza kuwa wa kiroho lakini hamjui Mungu.
Pia utajifunza vitu vya kufanya ili usije ukajikuta unakuwa mtu wa kiroho ambaye humjui Mungu.
1 Samuel 8: 1-10
Mungu aseme na wewe unaposikiliza Neno lake,
Amen!
Somo lililofundishwa kwenye fellowship ya Wanawake tarehe 09 Julai 2024. Mungu akutane na wewe unaposikiliza.
From the publisher's feed