Mafole Baraka

Upwork Series: Nimeingiza 27M+ Upwork kwa kufanya kazi za Translation


Listen Later

Kwenye Epsode ya kwanza ya #UpworkSeries tulizungumza na Julius ambaye alishare nasi safari yake ya kufanya kazi za translation Upwork zilizomsaidia kuingiza zaidi ya 200M+ mtandaoni.


Kwenye Epsode hii ya pili tuko na Philbert ambaye pia ni swahili Translator.Kwenye dashboard ya Upwork Philbert ameingiza zaidi ya Tzs 27M kwa kufanya kazi za translation.

Tenga muda wako na sikiliza kwa makini mazungumzo tumefanya na Philbert.

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mafole BarakaBy Baraka Mafole