Mafole Baraka

Upwork Series: Nimeingiza TZS 200M+ Online


Listen Later

Kwenye Epsode no 1 ya #upwork series nimezungumza na Julius ambaye ni Top rated pale Upwork.Julius ameshare safari yake kwenye jukwaa la Upwork pamoja na maendeo mengine anayopata kazi za mtandaoni.Kuwa sehemu ya kuwezesha programu hii kupitia Nisapoti: nisapoti.com/mafolebarakaTembelea website yangu kuomba kazi za mtandaoni na kujiunga na community yangu: www.mafolebaraka.comBaadhi ya website/tools zilizotajwa kwenye podcast hiiUpwork: www.upwork.comSDL TradosPO editor#remotework #translation #upworkproposal

Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mafole BarakaBy Baraka Mafole