
Sign up to save your podcasts
Or


Ile ndoto au yale maono ambayo umekua nayo, ni kweli ni makubwa na pengine yanaonekana hayawezekani, lakini haijalishi ni makubwa kiasi gani Ila kama ni Mungu amekupa hayo maono basi uwe na uhakika kuwa Mungu amekupa uwezo na atakufungulia milango ya kufanya. Kumbuka kuna watu ambao watafanikiwa kwa wewe kuyatekeleza maono au ndoto hiyo, USIIKATIE TAMAA.
By Belindabebe and GeegeeIle ndoto au yale maono ambayo umekua nayo, ni kweli ni makubwa na pengine yanaonekana hayawezekani, lakini haijalishi ni makubwa kiasi gani Ila kama ni Mungu amekupa hayo maono basi uwe na uhakika kuwa Mungu amekupa uwezo na atakufungulia milango ya kufanya. Kumbuka kuna watu ambao watafanikiwa kwa wewe kuyatekeleza maono au ndoto hiyo, USIIKATIE TAMAA.