Iran-Tanzania Podcast

Usiku wa Yalda maarufu kama SHABE YALDA


Listen Later

Kwa maelfu ya miaka sasa, Wairani wamekuwa wakisherehekea  usiku wa mwisho wa msimu wa mapukutiko (maarufu kama Shabe Yalda) kwa kutekeleza mila na desturi katika miji mbalimbali nchini Iran, usiku unaotajwa  kuwa ni mrefu zaidi wa mwaka na wenye giza nene mno.

Historia inaeleza kuwa, sherehe ya usiku wa Yalda ilianza zama za kale mno, na wala haifahamiki ni muda gani hasa ilipoanza, lakini wanaakiolojia walio wengi wanaeleza kuwa, usiku huo ulianza yapata miaka elfu saba iliyopita. Happy Shabe Yalda

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Iran-Tanzania PodcastBy Iran.Tanzania


More shows like Iran-Tanzania Podcast

View all
Travel with Amateur Traveler Podcast by Chris Christensen

Travel with Amateur Traveler Podcast

48 Listeners