Biblia Inasema Usiogope

Usiogope, Amini Tu


Listen Later

Wakati unapita kwenye changamoto mpaka unatamani kukata tamaa kabisa, au jambo gumu sana kiasi cha kuona kwamba hakuna lolote linaweza kufanyika tena. Kumbuka neno la Yesu Kristo, Usiogope, Amini tu. Simama thabiti katika imani yako. Kuwa shujaa usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri