Biblia Inasema Usiogope

Usiogope Fimbo


Listen Later

Kuna wakati unapita katika masahibu kwa sababu ya adhabu ambayo Mungu amekupa kutokana na namna ulivyoteleza. Kama baba anavyomrudi mwanae ndivyo Mungu huwarudi wale awapendao. Upitapo katika nyakati kama hizi, usiogope. Hata kama Mungu ametumia mtu kama fimbo kukurudi bado usiogope fimbo hiyo maana upendo wa Mungu kwako bado ni mkubwa sana. Biblia inasema usiogope.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri