
Sign up to save your podcasts
Or


Habari zanakuja na uvumi pia, lakini mara nyingi ni habari mbaya tu za kusikitisha na kutisha. Usiogope wala usitahayari kwa sababu Bwana Mungu yuko nawe. Hata katika nyakati hizi za mwisho ambapo hukumu inaenda kumwagwa juu ya waishio juu ya nchi bado usiogope kwa sababu wewe unayemuamini Yesu Kristo una chapa yake na hakuna hukumu ya adhabu juu yako. Usiogope habari utakayoisikia, Biblia inasema usiogope.
By Pastor MsafiriHabari zanakuja na uvumi pia, lakini mara nyingi ni habari mbaya tu za kusikitisha na kutisha. Usiogope wala usitahayari kwa sababu Bwana Mungu yuko nawe. Hata katika nyakati hizi za mwisho ambapo hukumu inaenda kumwagwa juu ya waishio juu ya nchi bado usiogope kwa sababu wewe unayemuamini Yesu Kristo una chapa yake na hakuna hukumu ya adhabu juu yako. Usiogope habari utakayoisikia, Biblia inasema usiogope.