
Sign up to save your podcasts
Or


Mara nyingine mtu unakutana na changamoto kubwa mbele yako. Unahisi unahitaji kuwa na uwezo mkubwa sana ili uweze kuvuka. Inaweza kukuogopesha. Kumbuka, Biblia inasema usiogope. Usiogope, hata kama huna kitu. Unae Mungu anayetangulia mbele yako.
By Pastor MsafiriMara nyingine mtu unakutana na changamoto kubwa mbele yako. Unahisi unahitaji kuwa na uwezo mkubwa sana ili uweze kuvuka. Inaweza kukuogopesha. Kumbuka, Biblia inasema usiogope. Usiogope, hata kama huna kitu. Unae Mungu anayetangulia mbele yako.