Biblia Inasema Usiogope

Usiogope Kufanya Maamuzi Magumu


Listen Later

Maamuzi magumu yana changamoto sana kuyafanya kwa sababu huwa yanakuweka katika nafasi hatarishi sana. Mara nyingine hatari ya kuporomoka hadhi ya maisha, kuonekana kituko au hata kifo. Hata hivyo kufanya maamuzi magumu huwa kunafungua milango ya kubarikiwa na kwenda viwango vikubwa hasa pale maamuzi hayo yanapokuwa ni mapenzi matimilifu ya Mungu. Kwa hiyo ili kwenda mbali kimaisha, usiogope kufanya maamuzi magumu. Biblia inasema usiogope.


...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri