Biblia Inasema Usiogope

Usiogope Kuwekeza


Listen Later

Moja ya madhara makubwa sana ya woga ni kutuzuia tusiwekeze tukiogopa kuingia hasara au kutojua yatakayotokea. Hii ni mbaya sana kwa sababu fursa huwa zimefungwa na muda kwa hiyo wakati unasitasita muda unakwenda na fursa hupotea. Kwa hiyo usiogope kuwekeza, tumia fursa zilizopo. Biblia inasema usiogope.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri