
Sign up to save your podcasts
Or


Ukiwa Mkristo uwe na uhakika lazima maadui waibuke. Na katika maisha huwezi kufanya mambo makubwa pasipo kusababisha watu wainuke dhidi yako kwa uadui. Lakini usiogope maadui, Biblia inasema usiogope.
By Pastor MsafiriUkiwa Mkristo uwe na uhakika lazima maadui waibuke. Na katika maisha huwezi kufanya mambo makubwa pasipo kusababisha watu wainuke dhidi yako kwa uadui. Lakini usiogope maadui, Biblia inasema usiogope.